No Kanumba is not a member of freemason,juhudi zake ndio zimemfanya afike hapo alipo,tatizo la wabongo mtu akifanikiwa mmasema freemason,mnajua past za watu?Kila mtu uwa anawakati wake wa kufunguliwa mambo yake,juhudi pia zinaitajika ili ndoto zako zitimie,Mungu hawezi kukutupa hata siku moja,unafikiri usipojishughulisha utatoka?utaishia kusema wenzako freemason huku wakisonga mbele,mtajiju.
Copyright © 2026 eLLeNow.com All Rights Reserved.